Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wanaukumbi,
Naona CHADEMA pamoja na changamoto wanazopitia za kukamatwa kwa viongozi wao lakini still wapo on THE BEAST MODE kunadi sera zao kwenye kampeni
Akiwa kwenye kampeni huko Kilimahewa, kata ya Shanwe, Mpanda Mjini, Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, alikosoa viongozi wa CCM kwa kukosa uwajibikaji na kujali maslahi binafsi.
Pia alibainisha changamoto za jimbo la Mpanda Mjini, kama barabara mbovu, uchafu, ukosefu wa huduma za msingi, na uongozi wa mitaa usio waaminifu.
Soma pia: Katavi: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia
"Barabara hazipitiki ni jimbo nzima, kipindicha mvua zinageuka madimbwi. Kuna uchafu wa mitaa, ubaguzi wa pesa za TASAF, maji, umeme, na viongozi wa mitaa sio waaminifu, ni wauza ardhi kiholela. Hatuna msemaji mwajibikaji kwa ajili ya Watanzania."