Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, amewataka wananchi wa mtaa wa Kampuni, kata ya Misunkumilo, Mpanda Mjini, kujitokeza kwa wingi na kufanya maamuzi sahihi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kuwanadi wagombea wa CHADEMA kwa nafasi za uenyekiti wa mitaa, Kunchela amewahimiza wananchi kutoacha hali ya kudhoofisha demokrasia iwazuie kuchagua viongozi wenye kujali maslahi yao.
Rhoda alisema yafuatayo:
"Inawezekana vijana wako wote wana kazi, wana ajira, hujawahi kupotelewa na mtoto aliyekamatwa na polisi akasingiziwa kesi, ukaona suala la demokrasia na uchaguzi halikuhusu. Ninawaomba muwe na hasira, mfanye maamuzi ya kueleweka. Mchague CHADEMA, ipiganie CHADEMA, mlinde kura zenu, na polisi wakija msitishike, msitishwe na mabomu," amesema Kunchela.
Huu uchaguzi ndio itakayoonyesha dira ya siasa za Tanganyika.
Kama kijiji ,mtaa au kitongoji wapiga kura wengi ni Chadema au ACT basi na kura zikaibiwa au walimuengua ambaye ama kwa hakika angeshinda kwenye sanduku la kura basi kazi iliyopo mbele yetu ni moja tu
Siku atakapoitusha mkutano wowote wanachama wote wa mgombea wa chama kilichonyanganywa ushindi wanatakiwa wafike kama mafuriko na kuhakikisha hakuna kikao wala mkutano unaofanywa na kiongozi wa mchongo asiyeshinda kwa haki
Mtu asiyeshinda kwa haki anapaswa kutendewa ukatili mkubwa ili iwe fundisho.
Hawa waovu wanapotawala kwa hila wanaumiza watu wengi bila huruma . Na mbaya zaidi wamehalalisha ubaya kuwa ndio mbinu yao ya kuingia madarakani.