Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya: CCM wanajua chama chao kina makundi ya watekaji, wanaogopa kujiunga CHADEMA kwa sababu mnatisha watu

Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya: CCM wanajua chama chao kina makundi ya watekaji, wanaogopa kujiunga CHADEMA kwa sababu mnatisha watu

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Naona kama joto la uchaguzi limezidi kuwa la moto na hii ni baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA huko jijini Mbeya kuwavaa CCM na chama chao

Masaga Pius Kaloli akiwa anazungumza leo huko jjini Mbeya amedokeza kuwa wanachama wengi wa CCM wanataka kujiunga na CHADEMA lakini wanaogopa kujiunga na chama hicho kwa sababu wanaogopa kutekwa

Soma pia: ACT wazalendo waungana na CHADEMA wamtaka Rais Samia awajibike kwenye matukio ya utekaji

"Leo CCM wanajua chama chao ni chama cha wezi. Wanajua chama chao kina makundi ya watekaji. Wanajua. WanaCCM wa nchi hii sio mafala nao wamechoka. Wanaogopa kuja leo CHADEMA kwa sababu mnatisha na kutesa watu, wanaogopa"

Wakuu hivi inawezekana kweli kuna wanaCCM wanataka waingie CHADEMA lakini wanahofia maisha yao?

 
Back
Top Bottom