Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Iringa: CHADEMA ni kimbilio kwa wanasiasa waliopata misukosuko

Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Iringa: CHADEMA ni kimbilio kwa wanasiasa waliopata misukosuko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wakuu!

CHADEMA ndiyo msingi mmoja wapo kwamba wanasiasa wakiteseka huko kwenye vyama vyao waje kwao waenjoy siasa safi?

Ila hii game bado ni ngumu ngoja tuone nani atashinda!
==========

(Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa) umejenga chama ambacho kinapokea kila mtu bila kujali ametoka kwenye madhila gani, hatujali ametoka kwenye chama gani, hiki chama kimewapokea wanachama wa CCM, hiki chama kimepokea wanachama wa NCCR Mageuzi wote hao wamepata nafasi ya kuchagia kwenye hiki chama" -Mungai

"Chama hiki kimepokea wanachama wapya, juzi tumepitia zoezi kubwa lilio na mamilioni ya Watanzania wapya kabisa ambao hawakutegemea kuishiriki kwenye siasa leo hii wapo CHADEMA, tuendelee kujenga taasisi ambayo ni kimbilio kwa wanasiasa ambao wamepata misukosuko sehemu nyingine lakini ni kivutio kwa vijana na wengine wanaohitaji kufanya siasa" -Mungai

Soma Pia: Mwenyekiti CHADEMA Iringa: Mbowe ni role model, asiogope mtu yeyote hata we nje ya nchi

Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Iringa William Mungai akizungumza kwa niaba ya Wenyeviti 21 wa CHADEMA mikoa walioazimia kumshawishi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe kuwania tena kiti hicho leo, Jumatano Desemba 18.2024

Screenshot 2024-12-18 170037.png
 
Back
Top Bottom