Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, kwa madai ya kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa usiku huu, Novemba 25 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa, mtuhumiwa huyo amekamatwa baada ya kuonekana kwenye video mjongeo iliyosambaa katika mitandao ya kijamii, akiwa anawahamasisha wananchi kufanya uhalifu Novemba 27,2024.
"Maneno hayo ya kuhamasisha vurugu, aliyatamka hadharani Novemba 24,2024, na baada ya kutamka waliyasambaza katika mitandao ya kijamii" amesema Kamanda Maigwa.
Aidha, amesema mtuhumiwa anachukuliwa maelezo ili hatua zingine za kisheria ziweze kufuata.
Wangetumia tu hii nguvu wanayotumia kwa chadema japo 5% watu wasingekufa pale kariakoo kwenye lile jengo kama kuku vibudu huku raisi akiwa kwenye coŕido za mkutano huko Brazil
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, kwa madai ya kutoa kauli za kuhamasisha wananchi kuvamia makazi ya wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa usiku huu, Novemba 25 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa, mtuhumiwa huyo amekamatwa baada ya kuonekana kwenye video mjongeo iliyosambaa katika mitandao ya kijamii, akiwa anawahamasisha wananchi kufanya uhalifu Novemba 27,2024.
"Maneno hayo ya kuhamasisha vurugu, aliyatamka hadharani Novemba 24,2024, na baada ya kutamka waliyasambaza katika mitandao ya kijamii" amesema Kamanda Maigwa.
Aidha, amesema mtuhumiwa anachukuliwa maelezo ili hatua zingine za kisheria ziweze kufuata. View attachment 3161612

Yaani maneno yakuhatarisha amani yanaongewa na chadema tu lakini hayo yanayo ongewa na viongozi mbalimbali wa ccm, mnayaacha mnasema ni mambo ya kisiasa. uwe kudumisha Amani kwa kubinya baadhi ya haki za watu. Makundi mengi ya kigaidi au yanayoitwa ya kigaida yalianza hivi hivi kwa kuonewa na baadaye na wao wakaamua kuchukua hatua za kulipiza visasi, ikifika hatua hiyo wote hatutakuwa salama, ila turakuwa tumechelewa kwani chuki ndani ya mioyo ya watu inakjirundika kidogo kidogo mwisho inajaa kisado. Najua tunajeshi zuri sana lakulinda Amani lakini na wao wanaona jinsi ndugu zao marafiki zao matendo mbali mbali ya uonevu wanayotendewa pamoja na kula viapo lakini bado ni binadamu. mimi nisisiteze, kusiwe na double stand, akiongea mtu wa CDM mnasema ni uvunjifu wa Amani akiongea lugha hiho hiyo au kali zaidi mtu wa CCM mnasema hayo ni mambo kisiasa sisi hatuingilii.
Naona E news walikua wanajadili jinsi Tanzania inavyopoteza legacy iliyoachwa na Mwalimu Julius Nyerere Wataalamu wanasema Wapinzani Tanzania wanaonekana kama ni wahalifu na Nchi haionekani kama ndio ilikua kiungo cha mapambano ya Ukombozi Africa.