johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nikiwa Kariakoo ni kama niko Makete πππIkumbukwe asilimia 90 ya Wafanyabiashara wa Kariakoo ni Wakinga kutoka mkoani Njombe
Una uhakika wajina
Bora ungenambia 25%
Nadhani ndio sababu πΉ amekamatwaNinachoweza kusema, kama wafanyabiashara wanataka kugoma kushinikiza mambo yanayohusisha biashara zao Vs Serikali wagome bila kushirikisha wanasiasa wa Tanzania.
Wanasiasa nao wakae mbali na movement zinazohusu raia walio nje ya siasa zao ili hizi movement zisiwe na milengo ya kisiasa.
Uko sahihi. Wanasiasa wakishaweka pua zao wanaharibu kila kitu.Ninachoweza kusema, kama wafanyabiashara wanataka kugoma kushinikiza mambo yanayohusisha biashara zao Vs Serikali wagome bila kushirikisha wanasiasa wa Tanzania.
Wanasiasa nao wakae mbali na movement zinazohusu raia walio nje ya siasa zao ili hizi movement zisiwe na milengo ya kisiasa.
Mungu wabariki Gen Z wa Kenya kwa kuwaamsha Waafrika waliofanywa Watumwa na Serikali zao.Wakenya hatari sana wataamsha maandamano Africa nzima kukataa tozo na kodi. Tusiwaige!
Mambo ya Kenya yanaweza tokea hapa Tz? Sidhani bwasheeKuna tetesi Kuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba anashikiliwa na Polisi kwa kuhamasisha mgomo wa Wafanyabiashara unaoanzia Kariakoo.
Ikumbukwe asilimia 90 ya Wafanyabiashara wa Kariakoo ni Wakinga kutoka mkoani Njombe
Tutaendelea kufuatilia
Nawatakia Dominica Njema π
Kenya ukabila unasumbuaMungu wabariki Gen Z wa Kenya kwa kuwaamsha Waafrika waliofanywa Watumwa na Serikali zao.
Sio kweli, Gen Z ni mchanganyiko nimewaona hadi Vijana wenye majina ya Kimasaai.Kenya ukabila unasumbua
Waandamanaji wengi unaowaona ni vijana wa kijaluo
Baba zao Masai mama zao wajaluoSio kweli, Gen Z ni mchanganyiko nimewaona hadi Vijana wenye majina ya Kimasaai.
Ni vigumu sana kujua kwa kuwaangalia kwenye TV lakini wote ni NilotesBaba zao Masai mama zao wajaluo
Kenya wanaoishi WatuMambo ya Kenya yanaweza tokea hapa Tz? Sidhani bwashee
Wako wasomali kibaoBaba zao Masai mama zao wajaluo
Hoja mfu mkabisa hii. Kwani hakuna watu ambao ni wafanyabiashara na vile vile ni wanasiasa?Ninachoweza kusema, kama wafanyabiashara wanataka kugoma kushinikiza mambo yanayohusisha biashara zao Vs Serikali wagome bila kushirikisha wanasiasa wa Tanzania.
Wanasiasa nao wakae mbali na movement zinazohusu raia walio nje ya siasa zao ili hizi movement zisiwe na milengo ya kisiasa.
Mwana umeongea ukweli kabisaNinachoweza kusema, kama wafanyabiashara wanataka kugoma kushinikiza mambo yanayohusisha biashara zao Vs Serikali wagome bila kushirikisha wanasiasa wa Tanzania.
Wanasiasa nao wakae mbali na movement zinazohusu raia walio nje ya siasa zao ili hizi movement zisiwe na milengo ya kisiasa.