Mwenyekiti wa CHADEMA Tanganyika pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar na mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania

KING ASSENGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2016
Posts
928
Reaction score
1,478
Kama kweli tumedhamiria kuirudisha Tanganyika tuanze ndani ya chama.

Sitarajii tena kusikia habari za Tanzania bara na visiwani. Tuweke huu muundo mapema kabisa usaidie katika kuleta mabadiliko.

Hata utambulisho wetu Uzanzibar na Utanganyika usikosekane. Tukazie hapahapa kwenye mshono
 
Kama kweli tumedhamiria kuirudisha Tanganyika tuanze ndani ya chama.
Sitarajii tena kusikia habari za Tanzania bara na visiwani. Tuweke huu muundo mapema kabisa usaidie katika kuleta mabadiliko
Hata utambulisho wetu Uzanzibar na Utanganyika usikosekane

Tukazie hapahapa kwenye mshono
Hamna shida
 
Sheria za vyama walizozitunga serikali ya CCM zinakubali ??
 
Back
Top Bottom