KING ASSENGA
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 928
- 1,478
Hamna shidaKama kweli tumedhamiria kuirudisha Tanganyika tuanze ndani ya chama.
Sitarajii tena kusikia habari za Tanzania bara na visiwani. Tuweke huu muundo mapema kabisa usaidie katika kuleta mabadiliko
Hata utambulisho wetu Uzanzibar na Utanganyika usikosekane
Tukazie hapahapa kwenye mshono
Tanganyika ilipata uhuru 1961 tanzania haijawahi batauhuru
Alafu wakaiwaTanganyika ilipata uhuru 1961 tanzania haijawahi bapa uhuru
Kama kweli tumedhamiria kuirudisha Tanganyika tuanze ndani ya chama.