Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Amewasamehe wote waliomfanyia ubaya yeye pamoja na upinzani nchini Zambia. Ametaja mateso aliyopitia ikiwa ni pamoja na kushtakiwa kwa uchochezi na ugaidi na kuswekwa ndani na aliyekuwa Rais Edgar Lungu. Amewahakikishia Wazambia kuwa hatalipiza kisasi. Je Tanzania ina chochote cha kujifunza hapa?
Sidhani, thubutu...CCM ni zaidi ya makaburu kwani hata makaburu waliomba msamaha kwa ukatili waliowafanyia Mandela na wapigania uhuru wa Afrika Kusini.
JF imevamiwa kwakweli!WACHA WAIPATE FRSH WANAAMBIWA KUNA CORONA WAO KILA SIKU KUJAZA WATU WACHA NAYE AKALIWE MAT...K KAMA GAIDI
Umewasiliana na Muumba akakueleza hayo?MSIMSUMBUE mUNGU NA MAMBO YENU YAA AJABU AJABU ANA KAZI NYINGI SANA
Yani vitoto vya 2001JF imevamiwa kwakweli!
Which "democratic state" are you referring to?This is unacceptable in Democratic state.
Kazi kweli kweli!Yani vitoto vya 2001
Tatizo kubwa tulilo nalo Watanzania ni hili hapa, ndio maana hata hivi vi-konstebo vya wilayani vinatusumbua na tunakunywa navyo ulanzi kila siku
Hii ndiyo Taarifa ya hujuma mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa , kwamba David Chiduo ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa amekamatwa na kuwekwa selo kwa Tuhuma za kuhamasisha maombi kwa wanachama wa Chadema wa Wilaya hiyo kwa ajili ya kumuombea Freeman Mbowe , aliyewekwa gerezani na watawala wa Tanzania kwa tuhuma za uzushi za Ugaidi .
Mkuu juzi kati bahati mbaya nimeshika simu ya anko wangu mtoto wa sista ambaye ni pacha wangu.. katoto ka juzi kanamwaga uharo humu hadi aibu nimeona mimi..Kazi kweli kweli!
Watashindana lakini hawatashinda
Hii ndiyo Taarifa ya hujuma mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa , kwamba David Chiduo ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa amekamatwa na kuwekwa selo kwa Tuhuma za kuhamasisha maombi kwa wanachama wa Chadema wa Wilaya hiyo kwa ajili ya kumuombea Freeman Mbowe , aliyewekwa gerezani na watawala wa Tanzania kwa tuhuma za uzushi za Ugaidi .
Ikumbukwe kwamba OCD wa Kilosa ni ndugu Lwelwe Mpina aliyekuwa OCD wa Hai na ambaye alishirikiana na Ole Sabaya kwenye masuala yote ya ujambazi wa kutumia Silaha na uporaji , badala ya Lwelwe Mpina kuunganishwa kwenye kesi za Sabaya , akahamishwa na Sirro ili akajifiche Kilosa , ambako bado anaendeleza unyama ule ule alioufanya Hai akijiamini kwamba ataendelea kulindwa .
Mungu ibariki Chadema
Sorry ours is a police state!This is unacceptable in Democratic state.
Singizia watu kuwa wao ni magaidi, tambua uwepo wa Mungu mwenye nguvu zaidi.Huyu mwamba unamfananisha na faru John?. Hilo genge lenu la Ufipa lipo so disorganized, hakuna mwananchi mwenye akili timamu anayeweza kuwaamini magaidi.
Aliyefichwa Kilosa ni OCD au David? Kama OCD kaenda na Sabaya hiyo ni wiki iliyopita, wakati David si ni mzaliwa? Msichanganye issues. Binadamu wengi huomba rohoni mwao wakati wa kulala au kula. Nani akukamate ukiomba rohoni mwako Mbowe aachiwe, direct au kwa msaada wa Bikira Maria? Tuambie: kakosa nini? Muwe wawazi.
Hii ndiyo Taarifa ya hujuma mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa , kwamba David Chiduo ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa amekamatwa na kuwekwa selo kwa Tuhuma za kuhamasisha maombi kwa wanachama wa Chadema wa Wilaya hiyo kwa ajili ya kumuombea Freeman Mbowe , aliyewekwa gerezani na watawala wa Tanzania kwa tuhuma za uzushi za Ugaidi .
Ikumbukwe kwamba OCD wa Kilosa ni ndugu Lwelwe Mpina aliyekuwa OCD wa Hai na ambaye alishirikiana na Ole Sabaya kwenye masuala yote ya ujambazi wa kutumia Silaha na uporaji , badala ya Lwelwe Mpina kuunganishwa kwenye kesi za Sabaya , akahamishwa na Sirro ili akajifiche Kilosa , ambako bado anaendeleza unyama ule ule alioufanya Hai akijiamini kwamba ataendelea kulindwa .
Mungu ibariki Chadema
Mbowe anaenda kuwa rais Kama Hichilema 2025.Video : Rais mpya wa Zambia Hichilema alipovuliwa viatu na mkanda wakati akiingizwa selo miaka michache iliyopita kwa amri ya Rais wa wakati huo Edgar Lungu
View attachment 1897053
sasa kumuombea Mbowe ni kosa? Mama Samia ukianza upumbavu kama.magufuli utafia madarakani na wewe..mwenzako alipiga marufuku Tundu Lissu asiombewe saizi Tundu Lissu mzima wa afya kabisa...angalia usije ukaenda zako na wewe
Hii ndiyo Taarifa ya hujuma mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa , kwamba David Chiduo ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa amekamatwa na kuwekwa selo kwa Tuhuma za kuhamasisha maombi kwa wanachama wa Chadema wa Wilaya hiyo kwa ajili ya kumuombea Freeman Mbowe , aliyewekwa gerezani na watawala wa Tanzania kwa tuhuma za uzushi za Ugaidi .
Ikumbukwe kwamba OCD wa Kilosa ni ndugu Lwelwe Mpina aliyekuwa OCD wa Hai na ambaye alishirikiana na Ole Sabaya kwenye masuala yote ya ujambazi wa kutumia Silaha na uporaji , badala ya Lwelwe Mpina kuunganishwa kwenye kesi za Sabaya , akahamishwa na Sirro ili akajifiche Kilosa , ambako bado anaendeleza unyama ule ule alioufanya Hai akijiamini kwamba ataendelea kulindwa .
Mungu ibariki Chadema
kosa lake ni kuhamasisha wanachama wa chadema kumuombea Mbowe , kumbuka hata maombi yenyewe hayakufanyika , bali kulikuwa na kuhamasishana tuAliyefichwa Kilosa ni OCD au David? Kama OCD kaenda na Sabaya hiyo ni wiki iliyopita, wakati David si ni mzaliwa? Msichanganye issues. Binadamu wengi huomba rohoni mwao wakati wa kulala au kula. Nani akukamate ukiomba rohoni mwako Mbowe aachiwe, direct au kwa msaada wa Bikira Maria? Tuambie: kakosa nini? Muwe wawazi.
Wazazi wako unawafahamu ?Mbowe ndiye nani?
Ikumbukwe kwamba OCD wa Kilosa ni ndugu Lwelwe Mpina aliyekuwa OCD wa Hai na ambaye alishirikiana na Ole Sabaya kwenye masuala yote ya ujambazi wa kutumia Silaha na uporaji