Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Haya si maneno yangu ni maneno ya mwenyekiti wa chama cha DPP, Philipo John Fumbo.
Fumbo anawaambieni mzae kwa sababu Tanzani ni tajiri.
Maneno haya alishawahi kusema kiongozi mmoja kutoka CCM kabla hajafariki dunia.
================
Kama hizi ndio sera za vyama vya upinzani basi ni bora tuendelee kutawaliwa na CCM.
Yaani shule hazina madawati, vituo vya afya havina dawa alafu mtu anajitokeza anasema tuzaliane.