LGE2024 Mwenyekiti wa Chama Cha Kijamii (CCK): Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulienda vizuri. CHADEMA walivamia mkutano wetu

LGE2024 Mwenyekiti wa Chama Cha Kijamii (CCK): Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulienda vizuri. CHADEMA walivamia mkutano wetu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Mwenyekiti wa Chama cha Kijamii CCK, David Daud Mwajojele, amesema uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji ulifanyika vizuri.

Soma pia: Uchaguzi 2020 Chama Cha Kijamii(CCK) kimeshindwa kutimiza vigezo vya kisheria kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais

Pia alidokeza kuwa katika uchaguzi huo kulikuwa na changamoto ndogo ndogo, akitolea mfano dosari iliyojitokeaza kwenye moja ya mkutano wa chama hicho, uliovamiwa na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).


 
Back
Top Bottom