Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Dec 5, 2024 #1 Mwenyekiti wa Chama cha Kijamii CCK, David Daud Mwajojele, amesema uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji ulifanyika vizuri. Soma pia: Uchaguzi 2020 Chama Cha Kijamii(CCK) kimeshindwa kutimiza vigezo vya kisheria kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais Pia alidokeza kuwa katika uchaguzi huo kulikuwa na changamoto ndogo ndogo, akitolea mfano dosari iliyojitokeaza kwenye moja ya mkutano wa chama hicho, uliovamiwa na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Your browser is not able to display this video.
Mwenyekiti wa Chama cha Kijamii CCK, David Daud Mwajojele, amesema uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji ulifanyika vizuri. Soma pia: Uchaguzi 2020 Chama Cha Kijamii(CCK) kimeshindwa kutimiza vigezo vya kisheria kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais Pia alidokeza kuwa katika uchaguzi huo kulikuwa na changamoto ndogo ndogo, akitolea mfano dosari iliyojitokeaza kwenye moja ya mkutano wa chama hicho, uliovamiwa na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Your browser is not able to display this video.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Dec 5, 2024 #2 Mamluki haooo Ova
Mzalendo Uchwara JF-Expert Member Joined Jan 26, 2020 Posts 4,437 Reaction score 13,836 Dec 5, 2024 #3 Mamluki wasio na aibu hawa.