Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Mwenyekiti wa UDP Taifa Bw. John Cheyo amesema kuelekea mwaka 2050 anatamani Tanzania impate Rais 'Kichaa' atakayekuwa na ujasiri na nguvu ya kupambana na vitendo vya rushwa
=============
Mwambieni Cheyo tushawahi kupata Rais "kichaa" ambaye mpaka alileta wazo la mahakama ya "mafisadi" lakini rushwa ipo hadi leo.
Hatuhitaji kichaa ili rushwa iondoke nchini, tunahitaji Rais AFUATE KATIBA na taasisi kama TAKUKURU ziwe na meno makali.
Kama hizi ndo sera za wapinzani bora niendelee kutokupiga kura.