Tulimpata Magufuli CCM wakamuua na huyo anayependekezwa na Cheyo sidhani kama naye hatadumu kama atapaikana.Mwenyekiti wa UDP Taifa Bw. John Cheyo amesema kuelekea mwaka 2050 anatamani Tanzania impate Rais 'Kichaa' atakayekuwa na ujasiri na nguvu ya kupambana na vitendo vya rushwa
=============
Mwambieni Cheyo tushawahi kupata Rais "kichaa" ambaye mpaka alileta wazo la mahakama ya "mafisadi" lakini rushwa ipo hadi leo.
Hatuhitaji kichaa ili rushwa iondoke nchini, tunahitaji Rais AFUATE KATIBA na taasisi kama TAKUKURU ziwe na meno makali.
Kama hizi ndo sera za wapinzani bora niendelee kutokupiga kura.
View attachment 3176720
Kwani Magufuli alikuwa kichaa?Tulimpata Magufuli CCM wakamuua na huyo anayependekezwa na Cheyo sidhani kama naye hatadumu kama atapaikana.
Huyu Mzee kigeugeu sana, hivi huyu uenyekiti wake si zaidi ya Mbowe?Mwenyekiti wa UDP Taifa Bw. John Cheyo amesema kuelekea mwaka 2050 anatamani Tanzania impate Rais 'Kichaa' atakayekuwa na ujasiri na nguvu ya kupambana na vitendo vya rushwa
The guy meant "Kichaa" figuratively and not literally.Hatuhitaji Marais vichaa
Walimuita "Kichaa" kısa tu alishikisha watu adabu hata wale viongozi wastaafu wezi waliisoma namba.Kwani Magufuli alikuwa kichaa?
Hata hivyo Katiba ya Tanzania hairuhusu nchi kuongozwa na kichaa.