Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo Othman Masoud kesho ataongea na Waandishi wa Habari!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo mh Othman Masoud kesho ataongea na Waandishi wa Habari.

Kadhalika Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Tanganyika mh Freeman Mbowe kesho ataongea na Waandishi wa Habari.

Hatari na nusu 🐼

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€
 
Labda anatangaza kujitoa kwa ACT Wazalendo katika serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar maana kuna kipindi walitangaza hali si shwari hivyo kama mambo hayajawekwa sawa watajitoa katika serikali.
 
Wanakwenda kuunga mkono juhudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…