Elections 2010 Mwenyekiti wa CHAWATA, Asema matokeo YAMECHAKACHULIWA

Elections 2010 Mwenyekiti wa CHAWATA, Asema matokeo YAMECHAKACHULIWA

PayGod

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Posts
1,259
Reaction score
60
Shida salum, ambaye ni mwenyekiti wa CHAMA CHA WALEMAVU TANZANIA( CHAWATA) amesema matokeo ya uchaguzi mkuu yamechakachuliwa hata yeye anaushaidi wa JIMBO la kigoma kaskazini

source EATV(CHANEL 5)
 
Chawata= chama cha walemavu tanzania
 
Haya sasa mambo yanaanza kuwekwa hadharani na kila mwenye ushahidi ajitokeze tu
 
Shida salum, ambaye ni mwenyekiti wa CHAMA CHA WALEMAVU TANZANIA( CHAWATA) amesema matokeo ya uchaguzi mkuu yamechakachuliwa hata yeye anaushaidi wa JIMBO la kigoma kaskazini

source EATV(CHANEL 5)

Sikujua kama alisema kama mwenyekiti wa CHWATA au kama mama mzazi wa Zito Kabwe!! Ingawa ni kweli wamechakachua matokeo ya Zitto.
 
Back
Top Bottom