Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mwenyekiti wa DP Mkoa wa Mara Mh Chrisant Nyakitita , leo amejitokeza mbele ya vyombo vya habari na kutangaza nia ya Kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Oktoba .
Wagombea wanaojitokeza wote watapimwa na Watanzania wenyewe kuona ni yupi kati yao anafaa , ni vema vyama vya siasa vikaruhusu demokrasia ndani ya vyama vyao ili kutuachia sisi wananchi wigo mpana wa kuchagua .