Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hayo mapapai hayana covidvirus?
Mwenyekiti wa DP Mkoa wa Mara Mh Chrisant Nyakitita , leo amejitokeza mbele ya vyombo vya habari na kutangaza nia ya Kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Oktoba .
Wagombea wanaojitokeza wote watapimwa na Watanzania wenyewe kuona ni yupi kati yao anafaa , ni vema vyama vya siasa vikaruhusu demokrasia ndani ya vyama vyao ili kutuachia sisi wananchi wigo mpana wa kuchagua .
πππKwa hali ilivyo sasa hivi huyo jamaa akisimama pekee na JPM hakika anachukua.
Yaani mzee kachokwa hadi ndani ya CCM ndio maana kaagiza fomu ichapishwe moja tuu na apewe mama jesca akae nayo kabisa