Mwenyekiti wa IEBC kwanini asijengewe sanamu?

Hakika chebukati ni Shujaa wa karne, anastahili heshima kubwa sio tu kenya bali dunia nzima.
ni watu wachache sana wenye msimamo na wasio kubali kuyumba wala kuyumbishwa.
Chebukati ni mfano mzuri wa kuigwa.
 
Kenya pako sawa sanamu yake ijengwe Dodoma ili Ccm waache kuiba kura au ijengwe nyumbani kwa mkurugenzi wa NEC ndg Mahela mwizi namba mbili ukimtoa marehemu.
 
Hakika chebukati ni Shujaa wa karne, anastahili heshima kubwa sio tu kenya bali dunia nzima.
ni watu wachache sana wenye msimamo na wasio kubali kuyumba wala kuyumbishwa.
Chebukati ni mfano mzuri wa kuigwa.
Huyo mwamba ni mfano bora wa kuigwa TZ 2025 tunamtaka mtu kama huyo asieyumbishwa yy anasimamia haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…