Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu anasoma taarifa yake kinyonge sana au anaumwa?

Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu anasoma taarifa yake kinyonge sana au anaumwa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa tunaomjua mh Kapokoswa tangu enzi za Shujaa Magufuli ni mtu mwenye mbwembwe sana wakati wa uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

Nadhani leo anaumwa Siyo kawaida yake

Mungu wa mbinguni amfanyie wepesi!
 
Kwa tunaomjua mh Kapokoswa tangu enzi za Shujaa Magufuli ni mtu mwenye mbwembwe sana wakati wa uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

Nadhani leo anaumwa Siyo kawaida yake

Mungu wa mbinguni amfanyie wepesi!

Labda kavaa barakoa isiyo onekana, wimbi la 4 linatrend. Haya mambo ya kisheria hivi hayanaga mbinu za mdani??? Mambo ya kijeshi taaluma yake ina mbinu za mdani. Hizi mbinu za mdani vita ikipambamoto sana ukiona mbinu ulizofundishwa na kukaririshwa umeishiwa unatafuta hapo hapo kwenye uwanja wa mapambo ubunifu wa kuendeleza mashambulizi.

Ndio na uliza wanasheria wa mikataba, je mambo ya kisheria hayana mbinu za mdani, kwamba zitumiike kujaribu kunusuru hii hali???
 
Kwa tunaomjua mh Kapokoswa tangu enzi za Shujaa Magufuli ni mtu mwenye mbwembwe sana wakati wa uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

Nadhani leo anaumwa Siyo kawaida yake

Mungu wa mbinguni amfanyie wepesi!
Kama ndio kwa uuzaji,sijui hata pole kama ataambulia,🤔
 
Mbona anasoma kama amelazimishwa...🤔
Yaani namuona kama amejawa hofu na mashaka...😶
 
Back
Top Bottom