johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo ni hengiovaπππJana walifanya sherehe part caucus mida ya jioni Hadi usiku
Anajizuia hangover isije ikamponzaKwahiyo ni hengiovaπππ
Mwagito,neno shujaa uwe unalitumia kwa umakini.Nipo Mshindo hapa mtaa wa Azimio.Nakuangalia tu.Kwa tunaomjua mh Kapokoswa tangu enzi za Shujaa Magufuli ni mtu mwenye mbwembwe sana wakati wa uwasilishaji wa Taarifa za Kamati
Nadhani leo anaumwa Siyo kawaida yake
Mungu wa mbinguni amfanyie wepesi!
Kama mh Kitwangaπ€£π€£Anajizuia hangover isije ikamponza
πππ Wala Nchi ndio Wafia Nchi!Mwagito,neno shujaa uwe unalitumia kwa umakini.Nipo Mshindo hapa mtaa wa Azimio.Nakuangalia tu.
Kwa tunaomjua mh Kapokoswa tangu enzi za Shujaa Magufuli ni mtu mwenye mbwembwe sana wakati wa uwasilishaji wa Taarifa za Kamati
Nadhani leo anaumwa Siyo kawaida yake
Mungu wa mbinguni amfanyie wepesi!
Yule mwamba sana.You better talk with high chin,bold shoulders and the real voice with hicups!πππKama mh Kitwangaπ€£π€£
Huyu ni Mbunge wa wapi ?Kwa tunaomjua mh Kapokoswa tangu enzi za Shujaa Magufuli ni mtu mwenye mbwembwe sana wakati wa uwasilishaji wa Taarifa za Kamati
Nadhani leo anaumwa Siyo kawaida yake
Mungu wa mbinguni amfanyie wepesi!
Katavi hukoHuyu ni Mbunge wa wapi ?
Kama ndio kwa uuzaji,sijui hata pole kama ataambulia,π€Kwa tunaomjua mh Kapokoswa tangu enzi za Shujaa Magufuli ni mtu mwenye mbwembwe sana wakati wa uwasilishaji wa Taarifa za Kamati
Nadhani leo anaumwa Siyo kawaida yake
Mungu wa mbinguni amfanyie wepesi!
Wanaringia uchawi zaidi hapo hakuna kitu.....wataingia historia kuuza bandari miaka mileleKatavi huko