PreGE2025 Mwenyekiti wa kampeni ya Mama Asemewe azindua kampeni ya "Wiki ya Mama" kuthamini juhudi za Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba wikiendi hii alizindua kampeni mpya aliyoiita "Wiki Ya Mama" kwa ajili ya kutathmini na kuthamini juhudi za Rais Samia

Mwenyekiti huyo ameainisha kuwa Machi 19, 2025, lengo la kampeni hiyo ya "Wiki Ya Mama" ni kuthamini miaka minne tangu Rais Samia aingie madarakani na mageuzi makubwa aliyoleta katika sekta mbalimbali

Your browser is not able to display this video.
 
Kwann wanasifia MTU na sio chama?.

Hapo Chawa analenga tu kusifia, apewe kacheo.
 
Hii nchi imeoza,
Future ya, nchi inategemea ubora wa, wananchi wake,
 
hiyo kampeni ikiisha wajiandae kwenda veta maana huo ujinga hautauzika tena
 
Huu uchawa sasa imekuwa janga la taifa

Ova
Kwa sisi wazee wazee tuliyaona haya kwa serikali ya Mobutu ,
Kofia picha yake, mashati ,pensi , sijui magari mitaani ,bendi zote zimuimbe yeye kwa wazoefu wa mambo tunapata wasi wasi kama mwisho u karibu sana mana dalili zile zile uchawa ule ule uliotokea enzi za Zaire sasa umerudi kwetu kwa kasi na pengine kuzidi,

Mbaya zaidi watu ambao nao walitakiwa kuona hizi dalili nao wamekua machawa
 
Mwendawazimu mkubwa!
 
Kichefuchefu,
Mama awaonye hawa machawa uchwara. Sio kwamba wanakusaidia, wanakuchafua. Kinachotafutwa hapo ni uteuzi tu. Tumeanza kuzisikia hata taasisi ambazo huko nyuma hatukuwahi hata kuzisikia. Yote hiyo ni uroho wa madaraka kwani wameona ni fursa UCHAWA unalipa.
 
TUMEWACHOKA,
LAKINI YOTE HII NI DALILI ZA WAZI KABISA KWAMBA WATU HAWA WAMEFILISIKA KIFIKRA NA MATUMBO YAO KUWA EMPTY
 
Tunaelekea kuwa kama kongo

Ova
 
Wanaoendekeza huu upuuzi wajue tu kuwa mambo kama hayo yanamshusha sana Samia.In short, uchawa utashusha kura, imezidi sana sana.
 
Wahenga walisema "Ngoma ikilia sana mwishowe ni KUPASUKA"
 
Kama kuna mtu alifaidika na huu ulaghai ni JK kwenye uchaguzi wa 2005, maana alikuta bado watu wamelala. Kwa sasa watu wanauelewa wa kutosha sio rahisi kuokota watu kwa mbinu za vikundi vya malaghai.
 
Amelipwa Shilingi ngapi kwanza!? Na kama hajalipwa anategemea kupata nini kwa hii kampeni yake!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…