Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba leo January 7, Bilionea Joseph Mbilinyi amekutana na Balozi huyo Ofisini kwake na kufanya naye Mazungumzo marefu.
Ambapo inadaiwa kwamba ametumia nafasi hiyo kumuaga Balozi Michael Battle, anayemaliza muda wake Nchini Tanzania.
Wawili hao wametumia nafasi hiyo kuweka Vizuri kati yao Koneksheni za kisiasa, Biashara na Uwekezaji.