mpondamali
JF-Expert Member
- Sep 5, 2011
- 501
- 176
Samuel Sitta sii jina ngeni ktk jukwaa la siasa za Tanzania.ktk kipindi hiki cha katiba wananchi wengi sana walikuwa na shahuku ya kujua nani ataongoza vichwa 600+ ktk mjengo WA dodoma na wengi hata baadhi ya wajumbe waliouwa wanatamani sana Samuel sitta awe kiongozi WA bunge la katiba.
Sitta amukwaa kuwa mwenyekiti na pia alikuwa anakitamani sana ho ho kiti kwa muda mrefu.Maswali mengi yameibuka baada ya kupata kiti na ni kama yafuatayo.....
1.je kisiasa atakuwa na mwelekeo upi..itampandisha au kumshusha?
2.speed na viwango ndo sera zake je ataweza kumpa kila mjumbe nafasi wakati kuna wajumbe midomo Yao inawashaa kuongea tuuu..na muda uliobaki ni mchache sana
3.kwa ccm atakuwa na picha gani pale atakapo piga chini maoni au michango Yao
4.Wafitini wa sitta wananafasi gani kwa sitta ktk michango Yao ya katiba...
5.je ni serikali 2 au 3 sitta v ccm