Pre GE2025 Mwenyekiti wa 'Mama Asemewe: Anayetaka tusishiriki katika uchaguzi kwa hoja zozote hana mapenzi na taifa letu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mwenyekiti wa Kampeni ya 'Mama Asemewe', Geoffrey Kiliba, ametoa onyo kali kwa wanasiasa ambao wameshindwa kuthamini vizuri ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amesisitiza kuwa taifa haliwezi kuamini viongozi ambao wanajivunia kutaja majina ya watu au kutumia vitisho kama Wanatembea na risasi mgongoni, badala ya kutoa mifano ya uongozi bora.

Nalionea huruma sana hili taifa. CCM ndo wanatuzalishia vijana wa namna hii?

Alafu mnashangaa Kagame na Museveni wanavyozidi kuitawala Mashariki mwa Afrika.
Nchi ishakuwa kama wakongo tu

Ova
 
Kwa hiyo huyo chawa anataka Uchaguzi ambao watu watauawa, kutekwa, kuteswa, kuenguliwa( wapinzani tu),kuingizwa kwq kura feki ...

Wqpinzani ( isomeke CDM & ACT) mkishiriki Uchaguzi huu wa 2025 hata CCM wenyewe, WATAWASHANGAA
 
Mwenyekiti wa Kampeni ya 'Mama Asemewe', Geoffrey Kiliba, ametoa onyo kali kwa wanasiasa ambao wameshindwa kuthamini vizuri ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amesisitiza kuwa taifa haliwezi kuamini viongozi ambao wanajivunia kutaja majina ya watu au kutumia vitisho kama Wanatembea na risasi mgongoni, badala ya kutoa mifano ya uongozi bora.

CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha
 
Sahivi mashirikina na mafisadi yanataka tu jina la maza fedha zinatoka hazina, ndiyo maana miradi karibu yote imekwama.
Ujenzi wa SGR umesimama kabisa hela yote imeelekezwa kwenye kampeni za CCM na kuijenga Znzibar huku Tnaganyika tukizidi kurudishwa nyuma. CCM hii dhambi ya kumkumbatia huyu mama anayeihujumu Tanganyika yetu na kuineemesha Zanzibar yake itakuja kuwatafuna soon
 
Huyu maza ni mbaya sn hana nia nzuri na watanzania
 
Mama Abdul anasemewa!!! Kwani mama Abdul hana mdomo ? Watanganyika hatutaki kuwa na rais muoga muoga mpaka anasemewa.

Huu ni wakati wa Tundu Antipas Lissu.
 
Back
Top Bottom