Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Nchi ishakuwa kama wakongo tuNalionea huruma sana hili taifa. CCM ndo wanatuzalishia vijana wa namna hii?
Alafu mnashangaa Kagame na Museveni wanavyozidi kuitawala Mashariki mwa Afrika.
Wanachofanya CCM kututengenezea kizazi cha vijana wajinga ambao kazi kwao ni uchawa na kujipendekeza ndo alichokifanya Mobutu kipindi cha utawala wake na ndo mana Congo leo ni shamba la bibi kila mtu anaenda kujivunia tuNchi ishakuwa kama wakongo tu
Ova
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuhaMwenyekiti wa Kampeni ya 'Mama Asemewe', Geoffrey Kiliba, ametoa onyo kali kwa wanasiasa ambao wameshindwa kuthamini vizuri ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesisitiza kuwa taifa haliwezi kuamini viongozi ambao wanajivunia kutaja majina ya watu au kutumia vitisho kama Wanatembea na risasi mgongoni, badala ya kutoa mifano ya uongozi bora.
Ujenzi wa SGR umesimama kabisa hela yote imeelekezwa kwenye kampeni za CCM na kuijenga Znzibar huku Tnaganyika tukizidi kurudishwa nyuma. CCM hii dhambi ya kumkumbatia huyu mama anayeihujumu Tanganyika yetu na kuineemesha Zanzibar yake itakuja kuwatafuna soonSahivi mashirikina na mafisadi yanataka tu jina la maza fedha zinatoka hazina, ndiyo maana miradi karibu yote imekwama.
Huyu maza ni mbaya sn hana nia nzuri na watanzaniaUjenzi wa SGR umesimama kabisa hela yote imeelekezwa kwenye kampeni za CCM na kuijenga Znzibar huku Tnaganyika tukizidi kurudishwa nyuma. CCM hii dhambi ya kumkumbatia huyu mama anayeihujumu Tanganyika yetu na kuineemesha Zanzibar yake itakuja kuwatafuna soon