MWENYEKITI WA MATAWI WA YANGA ATIMULIWA USIKU TAIFA

beal

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
114
Reaction score
60
Hakika Ogopa Mchawi na Mnafiq

Ngoma siyo yao ila wapo tayari kujitoa Roho.
Jamaa mmoja aliepitiwa na Rungu la TFF asijihusishe na Michezo hajakoma Jina kapuni
Ambae ni mnazi wa yanga na M/Kiti serikali ya mitaa tandika na Mwingine aliewahi kucheza mchezo mchafu kwa serikali (kesi haijaisha) wamebaraswa wakitaka kupenyeza Ulozi Taifa
Tukio hlo lilitokea usiku wa kuamkia leo baada ya watu hao kutinga uwanjani hapo, kumbe hawakujua kuwa uwanja huo upo chini ya ulinzi mkali sana!!
 

Kwa tuhuma hizi naona mtu fulanitayari amefungwa...mchecheto na propaganda zimezidi mno
 
Hayo ni maandilizi ya kisaikolojia baada ya Nkana kupeta kesho.
 
Fellow Zambians, I honour your kindly support for Nkana FC tomorrow at the National Stadium in Daresalam.
United we stand, divided we fall.
 
Acha kuweweseka mkuu,Nkana inafahamika tu kesho wanawalaza mapema,so unatafuta mchawi wakati wachawi ni wawa,manula pale nyuma
 
Mzigo wenyewe ni huu. Wapende wasipende simba tunasonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…