Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia awapa pole CCM kwa kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Nashangaa kwa @ccm_tanzania kumkana kada wao Hamza aliyefanya mauwaji dhidi ya Polisi, sisi kama Chama tunawapa Pole Chama Cha Mapinduzi kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza, wasione aibu" James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI.

72D3A426-3714-46AB-B4ED-3FFE0BB5328F.jpeg

330B40BE-A575-4B5B-A38D-3E377E5572A6.jpeg
 
Nashangaa kwa @ccm_tanzania kumkana kada wao Hamza aliyefanya mauwaji dhidi ya Polisi, sisi kama Chama tunawapa Pole Chama Cha Mapinduzi kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza, wasione aibu" James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI.

View attachment 1912488
Anachezea sharubu za babu😂😂
 
Nashangaa kwa @ccm_tanzania kumkana kada wao Hamza aliyefanya mauwaji dhidi ya Polisi, sisi kama Chama tunawapa Pole Chama Cha Mapinduzi kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza, wasione aibu" James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI.

View attachment 1912488
Magaidi wapo ccm na sio CHADEMA. Mbowe aachiwe!
 
Yule jambazi wa magari Arusha sasa hivi ameomba hifadhi CANADA.....

#SiempreJMT
 
Back
Top Bottom