Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia awapa pole CCM kwa kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza

28 August 2021 Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia, ametoa pole kwa chama cha Mapinduzi (Ccm), kwa kufiwa na mmoja wa wanachama wao anayefahamika kwa la Hamza, ambaye aliuwawa na jeshi la polisi wiki hii.
Source: MwanaHALISI TV
 
Ikisikia umetoka kutoa funza harafu unatembezwa eneo lilioungua kwa moto

shughuli yake pevu kwelikweli
 
Mbatia hawezi kuandika upumbavu kama huu
Kwa hali hii, hata Mtoto mpendwa, kwa nini asiweze

Polisi wasambaratisha kikao cha Kamati Kuu ya NCCR-Mageuzi

...maalum toka polisi. " Polisi wenye Silaha nzito na Mabomu ya machozi gari 3 zimezingira Ukumbi uliokuwa ufanyike kikao chetu cha Kamati kuu ya NCCR-MAGEUZI kwamba hakuna kikao chochote cha Siasa kinaruhusiwa kufanyika bila kibali maalumu kutoka jeshi la Polisi. Wamefunga geti la kuingia na... Mtanke; Thread; Today at 8:25 AMReplies: 40; Forum: Jukwaa la Siasa
 
Kwa kuweweseka huku yaonekana bado kidogo utastahili kuhamishiwa kwenye ile hospitali ya afya ya akili.
Mheshimiwa Hamza, kakuondoleeni kabisa utulivu magaidi wenzie.
 
inaonekana kuna baadhi ya wafuasi wa Mbowe/Chadema na baadhi ya viongozi kama wana vichembe chembe vya kigaidi.
waswahili wanasema maji hufuata mkondo.............................................
inabidi wafuatiliwe kwa karibu sana.
Mada inamhusu Mbatia na Ccm .
Wewe umeng'ang'ana na Mbowe si akufanye kimada uridhike. Maake kama kuoa alishaga oa.
 
Mbatia is too big to talk trash kama hii..kama kaongea hivi basi ndio maana aisee...
 
inaonekana kuna baadhi ya wafuasi wa Mbowe/Chadema na baadhi ya viongozi kama wana vichembe chembe vya kigaidi.
waswahili wanasema maji hufuata mkondo.............................................
inabidi wafuatiliwe kwa karibu sana.
Unataka kusema Hamza alitoka ccm akahamia chadema?
 
... Hamza ni noma yule! CCM hawajui wameze au wateme! Wamebaki kati kusoma upepo kwanza.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…