Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa anataka kuniuzia kiwanja changu mwenyewe

Angalizo kwa walimwengu, wekeni mazoea ya kutembelea viwanja vyenu, msitelekeze kwa muda mrefu bila kwenda. Hakikisheni kila document ipo up to date na la muhimu zaidi epukeni sana kununua viwanja kiholela bila kujiridhisha ardhi kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss,ulifanikiwa kumtia hatiani?
 
Peleka takukuru huyo...
 
Sema kwa jinsi polisi nao walivyo inabidi ujipange sana... hizi kesi za viwanja huwa hazitabiriki hata ukienda polisi. DR HAYA LAND yuko sahihi. Ila kama ni mzoefu wa polisi na mahakamani endelea na mchakato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…