Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Maana yake inaeleza mengi sana....yaani ya watanzania hayawamuhusu, "walie" yeye haimuhusu!!Balile
Kizungumza kupitia Clouds TV, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema: “Kampeni za mwaka huu zina ustaarabu, polisi hawashushi wagombea kwenye majukwaa.”
Balile yuko sahihi. Naunga mkono hoja yake.
unga na mashavu yake yaliyovimbianaBalile yuko sahihi. Naunga mkono hoja yake.