M manyatachacha Member Joined Jan 16, 2014 Posts 52 Reaction score 2 Feb 2, 2014 #1 kuliko la sasa la serkali mbili lenye wabunge mianne na ushe hii ni hesabu ndogo ya mtoto wa darasa la kwanza ukimuuliza swali 300 na400 ipi kubwa atakupa jibu haraka mie navyo ona hawa wanaodai serkali mbili nivichaa tena ni matahila kwelikweli
kuliko la sasa la serkali mbili lenye wabunge mianne na ushe hii ni hesabu ndogo ya mtoto wa darasa la kwanza ukimuuliza swali 300 na400 ipi kubwa atakupa jibu haraka mie navyo ona hawa wanaodai serkali mbili nivichaa tena ni matahila kwelikweli