Mwenyekiti wa UVCCM aliyesema Peter Zacharia katekwa na watu wasiojulikana, apandishwa kizimbani

Mbona hatuambiwi kilichofanywa na vijana ni sahihi kulingana na maadili ya yao ya kazi?
 
Safi sana, nadhani unachosema ni sawa maana mpaka kada wa CCM kusema kama alivyosema, ujue wakurya wameamua kushikamana na kuacha uchama.
 
Safi sana, nadhani unachosema ni sawa maana mpaka kada wa CCM kusema kama alivyosema, ujue wakurya wameamua kushikamana na kuacha uchama.
Ugonjwa huo ulioingia kwa wakurya kutaka ukweli tuu na kuachana na uchama naombea uenee kwa kasi nchi hii kama unavyo enea ugonjwa wa kipindupindu au Ebola .
Hakika ukweli ukipendwa namna hiyo chama cha samaki kwa rula ndio mwisho wake.
 
nasikia Jiwe kamchana Nchemba ,umesikia hotuba yake leo wakati wa kuapishana
 
Hii CCM haingalii sura ya mtu acha sheria ichukue mkondo
Mimi nilidhani yule anayetuhumiwa "kuwashambulia wateja wa petrol" ndie angekuwa wa kwanza kufikishwa court, ili asema ilikuwa utekaji au la!? Ajabu sana hizi movie za kihindi
 
Zakaria ana bahati sana vinginevyo maiti ingeokotwa
kwenye kiroba
 
nasikia Jiwe kamchana Nchemba ,umesikia hotuba yake leo wakati wa kuapishana
Sijasikia mkuu, ngoja niangalie mpira kwanza nitaitafuta ila nimesoma kuwa jiwe kaamua kumchinjia baharini Medelu.
Hakika atajuta, ndio atajuta maovu yake yote. Inapendeza mfuasi wa shetani akitengwa na shetani na kuazibiwa na shetani mwenyewe ili kuwa funzo kwa wafuasi wengine
 
Huyo Mwenyekiti wa uvccm angekuwa ni kiongozi cha chadema angesota rumande kwa muda usijulikana
 
Hiyo kesi ilifikia wapi?
 
Hizi habari naona zinafufuliwa sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…