Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhani amekishukuru kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa [NEC] kilichoketi Mach 10, 2025 kwa kutoka na kauli mbiu ya KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025.
Akieleza kuhusu kauli mbiu hiyo, Faris amesema kauli mbiu hiyo inadhihirisha kuwa CCM pamoja na ukongwe wake wa miaka 48 bado imeendelea kuziishi na imani kuu tatu za Mwana CCM hasa katika kulinda misingi ya Ubinadamu, Utu, usawa na kujitegemea.
Pia, Soma