Pre GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera: Mtaa hautaki digrii wala PhD ili mtu aonekane kijana mchapa kazi

Pre GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera: Mtaa hautaki digrii wala PhD ili mtu aonekane kijana mchapa kazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, amesema mtaa hautaki digrii wala PhD ili mtu aonekane kijana mchapa kazi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kauli hiyo ameitoa Oktoba 12, 2025, katika Chuo cha Serikali, VETA Karagwe, wakati akizungumza na wanachuo wa chuo hicho kuhusu umuhimu wa elimu ya ufundi stadi, wakati wa ziara ya Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa Kagera.

 
Huyu dogo ni bingwa wa kuropoka sana, kupata hiyo nafasi ya UVCCM anawaona wenzie kama mafara.....
 
Back
Top Bottom