Kauli hiyo ameitoa Oktoba 12, 2025, katika Chuo cha Serikali, VETA Karagwe, wakati akizungumza na wanachuo wa chuo hicho kuhusu umuhimu wa elimu ya ufundi stadi, wakati wa ziara ya Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa Kagera.