Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Nimeiona clip Instagram, sifahamu akiwa wapi lakini ujumbe wake ulisema haya:
Vijana ni hazina ya taifa na hazina ya chama.
Mnapochaguliwa kuwa viongozi si kwakua mna degree na PhD, si kwakua mlikiimbia sana chama na wala si kwakua mko karibu sana na viongozi, wake zao wako karibu nao kuliko nyinyi. Mlichaguliwa kutokana na miongozo mliyopewa na chama na muache kiburi.
Kheri James bravo comrade.