Mwenyekiti wa UVCCM Kheri James asema vijongozi vijana wasiwe viburi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011


Nimeiona clip Instagram, sifahamu akiwa wapi lakini ujumbe wake ulisema haya:
Vijana ni hazina ya taifa na hazina ya chama.

Mnapochaguliwa kuwa viongozi si kwakua mna degree na PhD, si kwakua mlikiimbia sana chama na wala si kwakua mko karibu sana na viongozi, wake zao wako karibu nao kuliko nyinyi. Mlichaguliwa kutokana na miongozo mliyopewa na chama na muache kiburi.

Kheri James bravo comrade.
 
 
Mkuu, vijongozi ndiyo matunda ya mti gani? Najua wewe so mkurupukaji, ila hii post nahisi umeitype na kuipost ukiwa kwenye bodaboda
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) NUMBER ONE🙄🙄
 
Ashukuriwe Askofu Shoo aseee kwa mahubiri Yale, hivi hakuna mwingine kule afe ili Shoo akolezee labda vichwa vitawakaa sawa.
 
Ashukuriwe Askofu Shoo aseee kwa mahubiri Yale, hivi hakuna mwingine kule afe ili Shoo akolezee labda vichwa vitawakaa sawa.
Ninasikia kelele zimekua nyingi mpaka baba wa mtoto amezisikia
 
Kheri James Kisanduku, huyu ni muuaji wa kutumainiwa ndani ya CCM
 
Ninasikia kelele zimekua nyingi mpaka baba wa mtoto amezisikia
Baba mtu kasemaje, Ila kwa sakata hili pamoja na la wakurugenzi kuwa Returning officers wa NEC kuna tukio tutaletewa soon
 
Yeue wenyewe ni kiburi. Hatujasahau bado yale maneno yake machafu aliyoyatoa pale Arusha kwenye kampeni za uchaguzi wa udiwani kata ya Daraja mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…