Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Kawaida akizungumza na Wakazi wa Lugarawa - Ludewa Njombe.
Sisi tumeshakaa mguu sawa kwenda uchaguzi wa mwaka 2025. Twendeni kwenye uchaguzi tukiwa katika hali ya amani, hali ya umoja kuchakua viongozi wetu watakao tuletea maendeleo na nyinyi mtakubalina na mimi Mwalimu Nyerere alisema viongozi bora hawawezi kupatika nje ya CCM.