LGE2024 Mwenyekiti wa UVCCM Tanga, Ramadhan Omar awataka wananchi kuchagua viongozi wa CCM katika nafasi zote "Ndio Chama chenye dira"

LGE2024 Mwenyekiti wa UVCCM Tanga, Ramadhan Omar awataka wananchi kuchagua viongozi wa CCM katika nafasi zote "Ndio Chama chenye dira"

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Habibu Mbota ambaye pia ni balozi wa maji mkoa wa Tanga akiwa katika harakati za kampeni alisisitiza kuwa uchaguzi huu ni fursa muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi wa CCM watakaowasaidia kuleta maendeleo.
IMG_0902.jpeg

Naye, Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Tanga, Ramadhan Omar aliwataka wananchi kuchagua viongozi wa CCM katika nafasi zote, akisisitiza kuwa ni chama chenye dira na mipango thabiti ya maendeleo
IMG_0904.jpeg
IMG_0903.jpeg
 
Dira inayo ongelewa na ccm ni hii sio ile ya maendeleo mnayoidhania nyinyi
PL6600-Compass-IR2-small.jpg
 
Damu ya mzee Kibao itawamaliza maccm huko Tanga
 
Back
Top Bottom