upupu255
Senior Member
- Sep 4, 2024
- 119
- 144
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa, Zainabu Mwamwindi ametoa wito kwa wanachama wa UWT Wilaya ya Iringa Vijijini kuwa makini na matukio ya utekaji kwa kupigiwa simu na kufuata maelekezo pasipo kupata uthibitisho kutoka kwa viongozi.
Ametahadharisha pia dhidi ya vitendo vya rushwa, akisisitiza kuwa chama cha Mapinduzi kipo macho na kitachukua hatua kali kwa wote wanaotaka kuvuruga taratibu za chama.
Ametahadharisha pia dhidi ya vitendo vya rushwa, akisisitiza kuwa chama cha Mapinduzi kipo macho na kitachukua hatua kali kwa wote wanaotaka kuvuruga taratibu za chama.