Mwenyekiti wa UWT Njombe alaani mchakato wa wapinzani katika kudai Katiba mpya

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
ALAANI MCHAKATO WA UPINZANI KUDAI KATIBA
"Mimi mwenyekiti wa UWT mkoa wa Njombe nalaani chokochoko hizo na zaidi nawaomba watanzania wenye mapenzi mema na nchi hii kuendelea kuunga mkono juhudi anazozifanya Rais wetu kutuletea maendeleo watanzania wote" Scolastika Kevela

 
Wanaokula cake ya Taifa wanapambana kuhakikisha Watanzania hawaamki.

Wabunge wanalipwa Shs ngapi kwa mwezi, hawakatwi Kodi?

Wafanyakazi wanalia kukosa FAO LA KUJITOA..hasa sekta binafsi NSSF

Wakulima vijijini wamepandishiwa Bei ya mbolea

Ccm endeleeni kutetea ulaji wenu ..hamtaki Watanzania waamke
 
Huko ccm mbona wanawake wanasura za uchawi,yani hawanaga akili mpya wao ni kugawa papa na kupata vyeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…