Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

Mkuu Dr Mengi anaingiaje kwenye sakata hili la kujiudhuru kwa Manji?
 
Mkuu Dr Mengi anaingiaje kwenye sakata hili la kujiudhuru kwa Manji?

Bado ni tetesi kubwa... eti Mengi anataka ku take over kuongoza Yanga..

Na kuna baadhi ya viongozi wa Yanga wanatumika kulishwa vihela kumvuruga Manji.. kama ujuavyo, Mengi na Manji ni mahasibu wa muda mrefu..!! Mengi akikosea kuja Yanga, timu itakufa kibudu mchana pale Jangwani, kichwa chini miguu juu..
 
mkuu kwa hivyo hizi habari ni TETESI tusizifanyie kazi?
 
mkuu kwa hivyo hizi habari ni TETESI tusizifanyie kazi?

Ukitaka njia nzuri ya kujikinga na magonjwa au madhara makubwa ni kuchukua kinga kabla ya tiba au tahadhari kabla ya hatari... maana yake tetesi huzaa ukweli baadae... but ukidhibiti tetesi hizi hata huyo Mengi hawezi kuja... sbb anapima upepo sisi wana Yanga tuko nae au laa..

So tetesi ni muhimu kufanyia kazi hadi hapo zitakapodhibitika vinginevyo... kama itakuwa ukweli ndio mapambano sasa yananza mwaga ugali, nimwage mboga kila mtu akose Yanga itakuwa vurugu tupu... ikiwa uongo sawa, ni kheri kubwa...

Ila Yanga watapata laana kubwa.. hawafadhiliki kabisa.. ninaumia sana..
 
UKWELI NI KWAMBA SIMBA NA YANGA HAZIJAWAHI KUWA ON FORM KWA WAKATI MMOJA, mmoja akisua sua mwingine anapeta, Yanga sasa wakati umewadia.
Basi tambueni kuwa umefika wakati ambao hizi timu zitakuwa on form kwa wakati mmoja.
 
Manji kaa pembeni... tuone sasa kama Uchawi wa akina Akilimali ndio utaongoza Yanga... Manji usikubali... hata wakikuomba vipi, usikubali...!! Just start your own team... Anzisha timu ya mpira moja kali sana... achana na Yanga kabisa...
Dua za kuku............... (malizia mwenyewe)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…