Mwenyekiti wa zamani wa PAC Zitto Kabwe aliwahi kuamuru polisi wamuweke ndani DG wa TPDC

Mwenyekiti wa zamani wa PAC Zitto Kabwe aliwahi kuamuru polisi wamuweke ndani DG wa TPDC

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna watu wanadhani na kuamini kwamba Zitto Kabwe ni kiongozi asiyependa ubabe, wanakosea sana.

Zitto Kabwe ni mbabe kupita hayati Magufuli.

Zitto Kabwe aliwahi kumsweka ndani mkurugenzi wa TPDC kwa jambo ambalo lilihitaji mjadala tu na alipohojiwa alisema katiba ndio imempa Madaraka hayo akiwa kama mwenyekiti wa PAC.

Sasa, fikiria mtu aje kuwa Amiri. Twafaaa!

Mungu mbariki Naibu wa Spika.

Maendeleo hayana vyama
 
Back
Top Bottom