Kuna watu wanadhani na kuamini kwamba Zitto Kabwe ni kiongozi asiyependa ubabe, wanakosea sana.
Zitto Kabwe ni mbabe kupita hayati Magufuli.
Zitto Kabwe aliwahi kumsweka ndani mkurugenzi wa TPDC kwa jambo ambalo lilihitaji mjadala tu na alipohojiwa alisema katiba ndio imempa Madaraka hayo akiwa kama mwenyekiti wa PAC.