Mbn ashazikwa makaburi ya kisutu mkuu
Muda sana
Ova
SafiNi kweli Mkuu hii habari haikuwemo humu. Nimesikia leo hii nikatafuta humu sikuiona ndiyo nikaamua kuiweka,
Ni COVID Mkuu
Nashangaa hata TFF hawakulisimamia vzrNi kweli Mkuu hii habari haikuwemo humu. Nimesikia leo hii nikatafuta humu sikuiona ndiyo nikaamua kuiweka, Ni wiki nne zilizopita.
Alikuwa akiugua kwa muda mrefu sanaNi kweli Mkuu hii habari haikuwemo humu. Nimesikia leo hii nikatafuta humu sikuiona ndiyo nikaamua kuiweka, Ni wiki nne zilizopita.
Nashangaa hata TFF hawakulisimamia vzr
Watoto wa elmamry wakina mddy najuana nao
Vzr...sana nakumbka waliniambia khs kifo cha mzee wao
Sema msiba ulienda kimya kimya sana
Media hazikuipa coverage sana
Ova
Alikuwa akiugua kwa muda mrefu sana
Ova
Noma sana mzeeHilo ni kweli kabisa Mkuu lakini immune system inapokuwa imeshaathirika halafu COVID ikakupitia basi ni hatari tupu. Inadaiwa pia mkewe ni mgonjwa sana.