Mwenyekiti wetu Mangungu tafadhali tujumuike kwenye hili ni suala la kitaifa

Mwenyekiti wetu Mangungu tafadhali tujumuike kwenye hili ni suala la kitaifa

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu inabidi anunue tiketi 5000, kutoa hamasa kuelekea mechi ya Yanga vs USM Alger, ili ni jambo la kitaifa

Simba
Nguvu moja

20230526_141441.jpg
 
mimi ni kolo kindakindaki ila naunga mkono hoja YANGA apewe sapoi... hili ni jambo la kitaifa
 
Back
Top Bottom