Mwenyekujua bei ya mabati msouth g 28 futi kumi

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Naomba kujuzwa kuhusiana na bei ya bati tajwa hapo juu geji 28 futi kumi Kwa kampuni ya alafu au kiboko imara
 
Nenda kwenye kampuni siku hizi zipo nyingi na Zina bei tofauti kutokana ubora wa bati
 
Hizo bati
28G
95cm upana wake
3 miter urefu
Hazipauki
Ni bati zimetoka Uturuki sio za Bongo kuna mtu amezileta zipo nyingi sana.
Bei yake ni elfu 48 tu

Kama ukiwa fresh njoo ukague mzigo 0689094097
0679094097
 
Kama hujulikani ulipo ni ngumu kupata jibu sahihi.

Bei ya kiwandani ni tofauti na ile ya wakala/dukani sababu ya gharama za usafirishaji.


BTW:Geji 28 tena Alaf utakuwa upo vizuri bila shaka.
 
Fanya utafiti kwa mafundi makampuni yenye bati nzuri kama bajeti yako haitoshi kuweka bati za kibabe kama alaf na nyinginezo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…