Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka niseme hili pia,akazeOmba sana, Fanya kazi Sana.
Kweli akaze!Nilitaka niseme hili pia,akaze
Hakuna Mungu atakusaidia kukupatia hilo ghorofa zaidi unatakiwa ujinyambue nyambue wewe mwenyewe!
Kanafika milioni 50 kweli hako kageto? Si hata kwa hela ya kaushadam unaweza ukakajenga halafu ukafanya marejesho kwa mission town!?
AMINANenda kwenye kiwanja unachotaka kuijenga hii ghorofa hata kama sio chako usijali, Cha kwanza uwe na imani kisha fumba macho sali hivi;
Ninaamuru ghorofa moja itue hapa sasahivi, Ninaamuru na pesa ya kumlipa mwenye hili eneo ishuke sasahivi.
Fumbua macho, ingia kwenye nyumba yako, endelea kula bata mkuu.
Si wengine ngoja tuendelee kusukuma bussiness kibishi - Hatuna Imani.