Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Sifa zako ni zipi sasa labda naweza nikakufikiria ahahaha
Ahahaha hivi ww bado hujapata nafasi tu?Mwenye uzi yuko wapi au mambo yameshahamia pm
Mabahararia wa huku hawapotezagi point huwezi kuwaona tena kwenye comment
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekufikiria tayari. Wewe tuu
Mtoe kabisaNgoja nianze kumtrace huko nyuma alikuwa anakoment nini!! Nikimkuta kwenye ule uzi wa kimasikhara namla kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu wewe unazingua ujue mara ya mwisho kula kichapo ni liniAhahaha hivi ww bado hujapata nafasi tu?
Ahahaha wewe ni chaguo la sumbai. Sikubali, utakuwa umempa rushwa tuu
Ahahaha sifa unakaribia lakini, au ndiyo umeshindwa kuongeza mwili?
Uje ili na sie turudi na ushuhuda umu baada ya mwaka